FM Manyara

Je uchumi wa mwanamke hupunguza ukatili wa kijinsia?

9 August 2026, 1:19 pm

Picha ya baadhi ya wanawake wakifanya biashara

Uwezeshaji wa wanawake kiuchumi umeendelea kuwa moja ya njia zinazotajwa katika kuimarisha uwezo wa wanawake kufanya maamuzi, kujitegemea na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii.

Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid

Lakini je, kuwa na kipato na uwezo wa kiuchumi kunaweza kweli kumsaidia mwanamke kupunguza au kujiepusha na ukatili wa kijinsia?

Ungana nasi usikilize makala hii ambapo tumezungumza na wanawake wajasiriamali , afisa ustawi wa jamii mkoa wa Manyara pamoja na mwakilishi wa shirika la Cosita.

Sauti ya makala