Uchumi
3 July 2026, 9:12 am
Mwenyekiti UWT Bunda akabidhi viti mwendo 17 kwa wenye ulemavu
“Uamuzi wa kutoa msaada huo umetokana na kupokea maombi mengi kutoka kwa watu wenye ulemavu waliokuwa wakikabiliwa na changamoto za usafiri na utekelezaji wa shughuli zao za kila siku.” Na Adelinus Banenwa Viongozi na wananchi wametakiwa kutoa kipaumbele katika kuwasaidia…
25 June 2026, 14:00
Imani potofu yachangia vifo vya wagonjwa wa kifua kikuu Kasulu
Ugonjwa wa kifua kikuu bado ni moja ya changamoto za kiafya zinazokabili jamii nyingi nchini Tanzania pamoja na juhudi zinazofanywa na Serikali pamoja na wadau wa afya katika kutoa elimu na huduma za matibabu, bado baadhi ya wananchi wanaendelea kushikilia…
7 May 2024, 18:41
Wanafunzi Kongwa wajifelisha mitihani kwa ajili ya kazi za ndani
Wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa Mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao huku wengine wakijaza majibu ya uongo…
1 February 2024, 10:49
Kigoma: Miradi ya kimkakati kuimarisha uchumi nchini, nchi jirani
Serikali imesema inaendelea kuhakikisha inaboresha miradi ya kimkakati kwenye sekta ya usafiri iliyopo ili kusaidia katika ukuaji wa uchumi hasa kupitia sekta ya usafirishaji kwa njia ya maziwa. Na, Tryphone Odace. Meneja Mipango kutoka kampuni ya huduma za meli nchini…
26 December 2023, 18:16
ugumu wa maisha chanzo kudorora kwa sikukuu za mwisho wa mwaka maswa
Sikukuu za mwisho wa mwaka zimepoteza mwamko kwa Wananchi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha ya kila hivyo kukosa fedha za ziada kwa ajili ya kugharamia sherehe hizo Na Alex Sayi-Simiyu Imebainishwa kuwa mabadiliko ya tabia ya Nchi na…
13 December 2023, 15:47
Wafanyabiashara Pemba wahimizwa kulipa kodi kwa hiari
Na Is-haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar(ZRA) Pemba imezindua mwezi wa kurejesha shukrani kwa mlipa kodi kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi wa Manispaa ya Chake Chake juu kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti za Kielekronik. Katika uzinduzi…
29 November 2023, 13:30
TRA Pemba warejesha shukrani kwa walipa kodi
Amesema wao kama wakala wa serikali wa ukusanyaji wa kodi kila mwaka wamekuwa na utaratibu wa kurejesha shukurani kwa walipa kodi ili waone kwamba kodi wanayoitoa hurudi kwao kwa njia tofauti ikiwemo hiyo ya kutoa misaada ya kijamii. Na Is-haka…
13 November 2023, 15:03
DC Mwanziva atembelea gereza la Ludewa, asisitiza uzalishaji mali
Na Josea Sinkala Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mhe. Victoria Mwanziva, amefanya ziara katika Gereza la Wilaya Ludewa mkoani humo. Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema gereza la Ludewa pamoja na kurekebisha tabia za wafungwa pia lipo ili kuzalisha…
7 November 2023, 12:55
Mwenyekiti UVCCM Mbeya awataka vijana kutumia fursa zinazotolewana serikali
Vijana mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zinatangazwa na serikali kwa lengo la kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Na Ezra Mwilwa Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Yassin Ngonyani…
31 October 2023, 10:43 am
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa Mkuu wa wilaya ya nyasa MH.FILBERTO HASSAN SANGA amewahasa wananchi kutumia vizuri fursa za uchumi zinapojitokeza hasa kilimo na uvuvi kwa kuwa ndio shughuli tegemezi na zinazofanywa na watu wengi wilayani…