Joy FM
90.5 MHz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
0622097953
radiojoy@radiojoy.co.tz
https://radiojoyfm.co.tz/
90.5 MHz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
0622097953
radiojoy@radiojoy.co.tz
https://radiojoyfm.co.tz/
Serikali katika halmashauri ya wilaya Kigoma imewataka wananchi kutulia wakati ikiendelea kufuatilia hali ilivyo baada ya volkano la tope kulipuka. Na Josephine Kiravu – Kigoma Wananchi wa kijiji cha Pamila kata ya Matendo wametakiwa kuondoa hofu kufuatia kuwepo kwa tope…
20 September 2024, 09:31
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Daktari Doto Biteko, ameagiza Wakandarasi wa ujenzi wa miradi ya kimkakati ya umeme mkoani Kigoma, kuongeza kasi ya utekelezaji ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kusaidia katika kukuza uchumi wa watanzania…
20 September 2024, 08:58
Bodi ya Nishati Vijiji REB, Imewaonya wakandarasi wanaosusua kukamilisha miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini REA, ikisisitiza miradi ikamilike kwa wakati katika vijiji vyote vinavyotekeleza miradi nchini, na kusaidia wananchi kupata nishati ya umeme kwa wakati. Bodi ya Nishati Vijiji…
19 September 2024, 14:29
Meli ya Mafuta ya MT Sangara iliyokuwa katika ukarabati mkubwa imefanyiwa ukaguzi na majaribio ya mwisho ya mitambo yake ikiwa katika asilimia 96% kabla ya kukamilika na kukabidhiwa serikalini ili kuanza kazi zake katika Ziwa Tanganyika. Na, Emmanuel Matinde Meli…
19 September 2024, 13:39
Serikali imeesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa watumishi wa afya kwa kuwajengea nyumba za kuishi ili waweze kutoa huduma kwa wananchi wakiwa karibu na maeneo yao ya kazi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Jumla ya shilingi milioni 460 zimetumika katika…
19 September 2024, 11:33
Wananchi katika hamashauri ya wilaya kasulu mkoani kigoma wametakiwa kushirikiana na serikali katika kulinda na kutunza vyanzo vya maji ikiwemo kuacha kufanya shughuli za kibinadamu karibu na vyanzo hivyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Kiongozi wa mbio za Mwenge wa…
19 September 2024, 10:39
Serikali imesema kuwa itaendelea kujenga na kuboresha miradi mbalimbali hususani miradi ya afya kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi na kupata huduma karibu na maeneo yao. Na James Jovin – Kibondo Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita serikali imefanya uwekezaji…
18 September 2024, 17:06
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024, Godfrey Eliakim Mnzava amemtaka meneja wa TARURA wilaya Ksulu kuhakikisha anaweka taa kwenye barabara ambayo imejenwa kwa gharama ya shilingi milioni 950. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Jumla ya…
18 September 2024, 15:15
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024, Godfrey Mnzava amemtaka Mkurgenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira katika halmashauri ya mji wa kasulu kusimamia ujenzi wa mradi wa maji Kimobwa ili uweze kukamilika…
17 September 2024, 14:53
Serikali wilayani kibondo imesema vijana hawana budi kuchangamkia fursa za kilimo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuacha kupoteza muda kusubiri ajira. Na James Jovin – Kibondo Vijana wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza katika sekta ya kilimo ili kujikwamua kimaisha…
17 September 2024, 11:30
Wakristo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuliombea Taifa ili Mungu aweze kuliepusha na matatizo yanayoendelea kujitokeza ikiwemo mauwaji na utekaji wa watu Nchini. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Mhasham Emmanuel…