Joy FM

Profesa Ndalichako kuifanya sekta ya elimu kuwa kipaumbele Kasulu

21 February 2024, 13:07

Waziri ofisi ya Waziri Mkuu, ajira, vijana  na wenye ulemavu Pro. Joyce Ndalichako amesema ataendelea kuhakikisha sekta ya elimu katika jimbo la kasulu mjini inapewa kipaumbele.

Pro. Ndalichako (kulia) akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya watu wenye ulemavu ambao pia aliwagawia baadhi ya vifaa mbalimbali ikiwemo viti mwendo. Picha na Emmanuel Kamangu.

Profesa Ndalichko amesema hayo wakati akigawa viti  mwendo na fimbo Kwa walemavu, pamoja na magari mawili Kwa kituo Cha afya kiganamo

Huyu hapa ni mwandishi wetu Emmanuel Kamangu.