Joy FM

Kasulu: Chama cha wasioona waomba kushirikishwa kwenye maamuzi

21 February 2024, 12:07

Uongozi wa chama cha wasioona wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameomba viongozi ngazi ya halmashauri  kujenga tabia ya kuwashirikisha katika mambo mbalimbali ili kutoa maoni juu ya maendeleo yao na taifa kwa ujumla.

Emmanuel Kamangu anaripoti zaidi.