Joy FM

Makala: Redio inavyomkomboa mwananchi Kigoma

13 February 2024, 11:36

Katika kuangazia siku ya redio duniani wananchi na wadau mbalimbali wamehusika katika kuzungumzia umuhimu wa redio katika jamii.

Ikumbukwe kuwa kauli mbiu mwaka 2024 ni ”Redio: Karne ya kufahamisha, kuburudisha na kuelimisha” ”Inaangazia mambo mengi ya zamani, yanayofaa ya sasa na ahadi za siku za usoni za redio”

Huyu hapa ni mwandishi wetu Winifrida Ngassa akisimulia ndani ya makala hii