Joy FM

Wakandarasi wa barabara Kigoma wanyoshewa kidole kutowajibika

1 February 2024, 17:15

Wajumbe Wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Kigoma, Wamelalamikia Kusuasua kwa Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara za Uvinza – Tabora na Kigoma – Kalya, Kwa madai ya wakandarasi kutowajibika ipasavyo, Pamoja na Kiwango Duni cha Ujenzi wa Mitaro Katika Barabara za Mijini hali inayopelekea wananchi Kuvamiwa na Maji kwenye Makazi na kuharibu samani za ndani.

 Kadisilaus Ezekiel Anaripoti.