Joy FM

Wafanyabiashara walia na mpangilio mbovu wa masoko Kigoma

25 January 2024, 16:12

Wafanyabiashara katika manispaa ya Kigoma Ujiji, wamelalamikia mpangilio mbovu wa masoko ya kufanyia biashara, hali inayozorotesha uchumi na kushidwa kulipa Kodi baada ya Kuvunjwa soko la Mwanga na kuanzishwa masoko pasipokuwa na mkakati maalumu wa kuyaendeleza.

Kadislaus Ezekiel na Taarifa zaidi,

Ripoti ya Kadislaus Ezekeil