Joy FM

Mafuriko yakwamisha huduma ya elimu kwa wanafunzi Kigoma

4 July 2023, 14:23

Wananchi wa Mtaa wa Mgumile, kata ya Kagera, manispaa ya Kigoma Ujiji, wameomba serikali kuangalia namna ya kuokoa majengo ya shule ya msingi Mgumile ambayo yamezingirwa na maji ya ziwa Tanganyika na kupelekea miundombinu yake kuharibika.

Shule ya msingi Mgumile ikiwa imezingirwa na maji ya ziwa Tanganyika baada ya maji ya ziwa hilo kuongezeka Picha na Daniel Amando