Joy FM

Wafanyabiashara Kasulu wahimizwa kutunza mazingira

7 February 2024, 15:23

Wafanyabiashara na wajasiriamali katika halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na vitunzia taka katika maeneo yao kwa ajili ya kuhifadhi uchafu. 

Na, Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu anasimulia zaidi

Ripoti yake Emmanuel Kamangu