Joy FM

Zaidi ya watoto 600 wafariki Januari hadi Desemba 2023 Kigoma

19 January 2024, 13:04

Zaidi ya watoto 600 wamefariki wakati wa kuzaliwa Mkoani Kigoma huku akina mama 76 wakipoteza maisha wakati wa kujifungua katika kipindi cha januari hadi disemba 2023.

Josephine Kiravu anasimulia taarifa ifuatayo.

Sauti ya Josephine Kiravu akisimulia namna watoto wachanga walivyofariki mkoani Kigoma.