Joy FM

Makala: Tamu na chungu za Muungano

25 April 2024, 16:57

Ikiwa ni miaka 60 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana, wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar wamefunguka kuelezea changamoto lakini pia umuhimu wa Muungano huo.

Makala hii iliyoandaliwa na Filbert Gabriel inasomwa kwako na Timotheo Leonard wa Joy FM.