Joy FM

Wananchi kunufaika na elimu ya sheria Buhigwe

26 January 2024, 15:51

Wakati tukiwa katika wiki ya sheria, Wananchi Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kufika katika vituo maalumu ambavyo vimeandaliwa kwa ajili ya kupata elimu ya kisheria.

Na Emmanuel Kamangu.

Taarifa ya Emmanuel Kamangu ikieleza umuhimu wa sheria kwa jamii wakati huu ambao tupo kwenye wiki ya sheria ambayo Kwa kigoma inazinduliwa na Mkuu wa Mkoa Kigoma.