Joy FM

Wanawake, vijana kunufaika na mikopo kwa wakati

31 January 2024, 08:51

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano  wa  Tanzania Dkt.  Philip  Mpango  ameziagiza halmashauri zote  nchini  kuharakisha   mchakato wa  upatikanaji fedha  za maendeleo  ya  vijana,  wanawake   na watu wenye ulemavu  kwa lengo la kuchochea uchumi kwa jamii na taifa.

Kadislaus Ezekiel anaripoti zaidi.

Ripoti ya Kadislaus Ezekiel