Joy FM

watoto wenye uhitaji maalum waomba kutatuliwa changamoto zao

5 February 2024, 13:29

Watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhitaji wa taulo za kike hasa kwa wasichana hali ambayo wakati mwingine hupelekea kukosa masomo darasani.

baadhi ya watoto wenye uhitaji maalum wakiwa katika mkutano wao na wadau wa elimu waliowatembelea

James Jovin ana maelezo zaidi.