Joy FM

Wananchi walia na ukosefu wa maji, watumia maji ya mito na visima

24 January 2024, 16:02

Baadhi ya Wananchi  katika  Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kutokana na huduma hiyo kushindwa kuwafikia kwa zaidi ya miaka 60 na kuwalazimu kutumia maji machafu kutoka kwenye visima na mito na baadhi yao wako kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.

Ni sauti ya Mwandishi wetu Lucas Hoha akisimulia taarifa ya ukosefu wa huduma ya maji kwa wananchi.