Joy FM

Kivuko chakwamisha wakulima baada ya kusombwa na maji Buhigwe

2 April 2024, 09:56

Zaidi ya wakulima 700 wanaofanya shughuli za kilimo ng’ambo ya mto Ruwiche katika kata ya Kinazi wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wameshindwa kuendelea na shughuli hiyo baada ya kivuko kinacho unganisha vijiji vya kinazi na nyamihanga kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia jumapili ya tarehe 31machi mwaka huu.

ripoti yake Michael Mpunije