Joy FM

Wananchi Kasulu wakerwa kuchangishwa 3,500 ujenzi wa daraja

26 January 2024, 10:01

Wananchi wa kata ya Nyansha wilaya ya Kasulu wameilalamikia serikali kwa kuwachangisha fedha kiasi cha shilingi 3,500 kila kaya ili kununua mawe ya kujengea daraja ikiwa huu ni mwaka wa tatu na hakuna kinachoendelea licha ya kila kaya kutoa kiasi hicho cha fedha.

Mwandishi wetu Hagai Ruyagila anaripoti zaidi

Ripoti ya Hagai Ruyagila Kutoka Kasulu