Joy FM

Wanawake kushikamana yatajwa kuwa chachu ya kukabiliana na ukatili

5 March 2024, 09:16

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi , Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako amewataka wanawake mkoani Kigoma kushikamana kukabiliana na vitendo vya ukatili ambavyo vimeacha majeraha katika familia nyingi.

Ripoti yake Emmanuel Kamangu