Joy FM

Bilioni 30 kutumika mradi wa maji wa miji 28 Kasulu

25 January 2024, 16:04

Zaidi ya bilioni 30 zimetengwa na Serikali katika halmashauri ya mji kasulu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 kasulu mjini ambao unajengwa kata ya kumnyika katika halmashauri hiyo.

Michael Mpunije Kutoka Wilaya ya Kasulu ametuandalia taarifa ifuatayo