Joy FM

Shule za msingi zalia na miundombinu ya ufundishaji na ujifunzaji

25 March 2024, 15:39

Shule za Msingi Wilayani Kibondo, zimeomba Serikali, Mashirika ya Kuhudumia Wakimbizi pamoja na Wadau wa Elimu, Kusaidia ufanisi wa mazingira rafiki ya Ufundishaji na Ujifunzaji.

Kutoka Wilayani Kibondo Mwanahabari Wetu Kadisilaus Ezekiel  Anaripoti.