Joy FM

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao Kasulu

31 January 2024, 12:47

Kaimu Mkuu wa kitengo cha usafi na udhibiti wa taka ngumu halmashauri ya mji wa Kasulu, Picha na Emmanuel Kamangu.

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao ili yasitumike kutupwa takataka.

Na Emmanuel Kamangu.

Wananchi katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendeleza maeneo yao ya viwanja ambayo yako wazi ili kuepuka kuwa na vichaka ambavyo haviakisi dhana ya usafi katika maeneo ya mji.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku chache ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuzindua kampeni ya kuhamasisha usafi wa mazingira kwenye makazi ya watu.

Sauti ya mwandishi wetu Emmanuel Kamangu akieleza juu ya maeneo ya makazi ya watu kutumika kusambaza takataka.