Radio Tadio

Dini

31 January 2024, 09:54

Askofu Pangani: Kuweni waadilifu msimwangushe Rais

Na Hobokela LwingaViongozi waliopo kwenye taasisi za umma wametakiwa kuwa waaminifu na waadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutokumuuangusha mheshimiwa Rais katika mipango yake ya kuongoza nchi. Wito huo umetolewa na Askofu mteule mchungaji Robert Yondam Pangani wakati akihitimisha…

18 January 2024, 12:10

Acheni usanii,fanyeni kazi ya Mungu

Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Geofrey Mwakihaba amewataka wachungaji kuacha usanii na kurejea kwenye misingi ambayo Mungu amewatuma. Amesema hayo katika ibada ya kuwabariki wachungaji 17 wa Kanisa hilo na…

17 January 2024, 11:07 am

Wachungaji 17 wabarikiwa KKKT dayosisi ya Konde

Na mwandishi wetu Askofu Geophrey Mwakihaba wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde amewabariki Wataradhia kumi na saba kuwa Wachungaji baada ya kuhitimu masomo ya Theolojia hivyo kuendelea kuongeza Watumishi ndani ya Kanisa ibada iliyofanyika usharika wa Tukuyu…

2 January 2024, 18:10

Mch. Pangani: Mwombeeni Rais, dumisheni amani

Na Kelvin Lameck Askofu Mteule ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Robert Pangani amewataka waumini na Watanzania kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kudumisha amani katika nchi. Pangani ameyasema…

2 January 2024, 18:08

Askofu Nyaisonga amtembelea Rc Homera nyumbani kwake

Na mwandishi wetu Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki Mbeya na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Gervas Nyaisonga Leo Tarhe 01/01/2024 amefika Nyumbani kwa Cde Juma Zuberi Homera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumtakia Kheri…

31 December 2023, 14:06

Epukeni watumishi matapeli, wanawapapasa mnatoa hela

Na Hobokela Lwinga Makamu mwenyekiti wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mch. Asulumenye Mwahalende ameyataka makanisa yote ya Kanisa la Moravian jimbo la Kusini Magharibi kuhakikisha yanakuwa na kengele ambazo zitakuwa zikipigwa kabla ya ibada ikiwa ni…

28 December 2023, 18:24

Epukeni kutenda uhalifu

Na mwandishi wetu,Songwe Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Thomas Jimbo Kuu la Mbeya wametakiwa kuzishinda dhamiri zao mbaya ili kutotenda matendo uhalifu katika jamii. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP…