Podcasts

12 May 2025, 2:36 pm

Mwanamke na uongozi katika jamii za kifugaji

Jamii za kifugaji zimekuwa haziwapi nafasi wanawake ya kuwa viongozi kutokana na mfumo dume. Wengi wa wanajamii kutoka ndani ya jamii hiyo wakiwa na imani kwamba mwanamke hawezi kuongoza wanaume. Na Saitoti Saringe

1 April 2024, 15:19 pm

Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala

“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…

12 February 2024, 15:07 pm

Umuhimu wa kutunza mazingira kwa kutumia upandaji maua-Kipindi

Kipindi cha Mazingira ambacho amesikika kijana Nelson Everisty mkazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambae amekuwa akizalisha maua katika Eneo hilo huku akielezea namna yanavyoweza kutunza Mazingira ya Nyumbani na mengine hutumika kama Dawa na Matunda. Na Musa Mtepa Bustani…

8 February 2024, 7:12 pm

Wanawake wanashiriki vipi katika kufanya maamuzi ya familia?

Wanakijiji wa kijiji cha Terrati Simanjiro mkoani Manyara Mwandishi wetu akifanya mahojiano na mwenyekiti wa Malaigwani wilaya ya Simanjiro Lesira Samburi. Mwanamke amekuwa akikosa nafasi ya kutoa maamuzi ngazi ya familia ikisemekana sababu kubwa ni mila na desturi za jamii…

25 January 2024, 11:47 am

Watoto miaka 5-14 hatarini kupata kichocho Rungwe-Kipindi

Na Lennox Mwamakula – Rungwe Jamii imeshauriwa kutoa ushirikiano pindi watoto wanapo takiwa kupatiwa chanjo ya mangojwa mbalimbali kwani itasaidia kuimarisha kinga kwa watoto Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa kinga ambaye pia ni afisa afya Ndugu Leonard Shaba kwenye…