
Recent posts

10 August 2022, 15:29
KIPINDI (LIVE): Elimu ya namna ya kudhibiti Ugonjwa Kifua Kikuu (TB)
Ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa unaoennezwa kwa njia ya hewa na hii huenezwa kwa njia tofauti, ungana na mwandishi wetu Mwanahamisi chikambu pamoja Dk. Boniface Jengela ambaye ni mratibu wa kudhibiti kifua kikuu (TB) na ukoma katika halmshauri ya…

1 August 2022, 12:30
Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto
. Sikiliza Makala inayozungumzia Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto, Makala haya yameandaliwa na Mwanahamisi chikambu

28 July 2022, 19:12
Balozi wa Sweden atembelea Waandishi wa Habari Mtwara
Balozi wa Sweden 🇸🇪 nchini Tanzania Anders Sjöberg, leo julai 28,2022 ametembelea katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) zilizopo katika jengo la Chama cha waalimu – CWT, mkoani humo. Balozi huyo amepokelewa na viongozi…

26 July 2022, 20:37
Wanafunzi 11 na watu wazima 2 Wafariki katika ajali ya Basi la wanafunzi la King…
Na Gregory Millanzi. Kufuatia ajali ya Basi dogo la Wanafunzi aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T207 CTS la shule ya King David Mtwara imepata ajali eneo la Mji mwema Kata ya Magengeni, Mikindani Mkoani Mtwara Wanafunzi 11,…

21 July 2022, 12:28
Wananchi wamkataa Diwani wa kata ya Nanguruwe Mkoani Mtwara
wananchi wa kata ya Nanguruwe mkoani mtwara katika Halmashsuri ya wilaya ya mtwara mkoani mtwara wamemkataa Diwani wa kata hiyo Patrick Simwinga baada ya kutokea kwa vurugu katika eneo lake la utawala. chanzo cha wananchi kumkataa diwani huyo ni vurugu…

8 July 2022, 14:52
Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi
Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara. Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba …

8 July 2022, 14:28
MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto
Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…

7 July 2022, 11:22
Makala: Vijana wamejiandaaje na Fursa za Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji wa Ges…
Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji na usindikaji wa Gesi asilia unatarajia kuanza kutekelezwa mkoani Lindi ambapo tayari nchi yetu ya Tanzania imesaini mkataba wa awali wa ujenzi huo. Swali ni je? Vijana wa mikoa ya Mtwara na Lindi wamejiandaaje na…

2 July 2022, 20:06
Tamasha la michezo la Eastgate Day Care Center
Wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kupunguza vitendo vinavyoashiria ukatili dhidi yao. Hayo yamesemwa na Bi Ester Nyagari Mzazi wa Serafini Elman katika tamasha la michezo lililohusisha wanafunzi na wazazi yaliyoratibiwa na shule ya Watoto ya Eastgate iliyopo…

28 June 2022, 20:46
TAKUKURU Mtwara: Tunawashukuru Waandishi wa Habari na Wadau
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imewashukuru wananchi na taasisi mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari kwa namna ambavyo wametoa ushirikiano katika kuelimisha umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2022 huku TAKUKURU ikifikia malengo yake…