Jamii FM

Ukataji wa miti hovyo unavyoweza kusababisha kukausha vyanzo vya maji.

10 November 2020, 05:53 am

Wapo wanaokata miti kwa shughuli mbalimbali kama vile kutengeneza mkaa, kujengea nyumba, kuchana mbao huku athari zake zikiwa ni pamoja na kukausha vyanzo vya maji. Hapa utawasikia wananchi na Meneja wa wakala wa misitu wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara Nchini Tanzania akielezea.

Ungana na KarimFaida katika makala haya ya dakika 15.