Jamii FM

Makala: Changamoto ya Vumbi la Makaa ya Mawe kwa wananchi wa Mtwara

17 August 2023, 12:48 pm

Picha ya Makaa ya Mawe , Picha kwa njia ya Mtandao
Picha ya Makaa ya Mawe , Picha kwa njia ya Mtandao

Na Musa Mtepa,

Changamoto ya makaa ya mawe kwa wananchi wa manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo katika makala haya utamsikia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kanali Ahmed Abbasi na mwakilishi kutoka mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wakielezea juu ya majukumu ya kulinda mazingira.

Wakazi wa Lindi na Mtwara wameshuhudia uwepo wa magari makubwa yanayobeba makaa ya mawe yakitokea mkoani Ruvuma, ambapo katika usafirishaji huo wakazi wa pembezoni mwa barabara wanakutana na changamoto mbalimbali, Bonyeza hapa kusikiliza makala haya