Jamii FM

Athari ya uzazi wa mpango kwa mabinti wadogo

10 November 2020, 18:27 pm

Hujambo, karibu kusikiliza kipindi Maalum kinachoangazia Athari za utumiaji wa Dawa za uzazi wa mpango kwa mabinti wenye umri mdogo ambao wanatumia sindano na vidonge ili kujikinga na ujauzito bila kujua athari zake. Hapa utawasikia mabinti, wazazi na Daktari Deogratius Makoti wa Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula Nchini Tanzania.

Imeandaliwa na Karim Faida Karibu.