Jamii FM

MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi

29 April 2023, 14:52 pm

matumizi ya jiko la gesi katika kupika chakula, Picha kwa niaba ya Mtandao

Na Musa Mtepa

Kutokana na kukuwa kwa Technolojia  Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo  ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini.

Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee kikongwe ukimuuliza ni nishati gani mlikuwa mnaitumia katika kupikia atakuambia alikuwa anatumia nishati ya kuni kitu ambacho ni tofauti na watu wasasa ambapo kutokana na kukua kwa technolojia  hali imekuwa tofauti watu wanatumia nishati ya gesi kwenye mapishi na hata nishati ya umeme.

Nikukaribishe kwenye kipindi hiki cha Mazingira na Gesi ambapo hii leo tunaangazia matumizi ya nishati ya gesi za mitungi majumbani   jinsi gani inavyotumika na vyakula gani vimekuwa vikipikwa kupitia  ishati hiyo.

Mwaandaaji na Msimuliaji wa KIpindi hiki ni mimi Musa Mtepa