Jamii FM

Makala – Sera ya ushiriki wa wazawa wa manispaa ya Lindi kuelekea kunufaika na fursa ya Gesi

31 October 2023, 12:53 pm

Sanamu ya mjusi mkubwa aina ya Dinasaur ambayo ni kivutio katika mkoa wa lindi. Picha na Mtandao

Na Musa Mtepa

Katika makala haya tunaangazia nafasi ya ushiriki wazawa hasa vijana wa Manispaa ya mkoa wa Lindi kuelekea kunufaika na fursa ujenzi wa kiwanda cha uziduaji na uchakataji wa Gesi cha LNG mkoani Lindi.

kusikiliza makala haya Bonyeza hapa