Jamii FM

Makala: Hali ya chama cha watu wenye ulemavu wa kuona Mtwara

14 October 2023, 16:16 pm

Mwanahamisi Chikambu akizungumza na katibu wa chama cha wasioona Mkoa wa Mtwara Ndugu Hamisi Mohamed Ngolowe. Picha na Said Swallah

Na Mwanahamisi Chikambu,

Mtu asiye na ulemavu wa macho hawezi kuelewa ni namna gani mtu wa namna hiyo anavyoweza kuendesha maisha yake ya kila siku na kuhakikisha familia yake inapata huduma za kila siku.

Kumekuwa na vyama mbalimbali ambayo vinaanzishwa kwaajili ya kutetea haki za watu wenye ulemavu kwaajili ya kutetea maslahi ya wanachama wake. Katika makala haya utamsikia katibu wa chama cha wasioona mkoa wa mtwara Ndugu Hamisi Mohamed Ngolowe kutoka manispaa ya mtwara mikindani ili usikie harakati zake za kufanikisha harakati zao kama chama cha wasioona mkani hapa.

Bonyeza hapa kusikiliza