Jamii FM

Ufafanuzi juu ya adhabu za kujihusisha na Dawa za kulevya

30 November 2022, 18:07 pm

Na Musa Mtepa,

Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imejipanga kuweka adhabu kali kwa watu wote wanaojihusisha  uuzaji na madawa ya kulevya ikiwemo  Walimaji na watumiaji wa Bangi nchini.

Wakiwa kwenye Wiki ya Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani  mkoani Mamlaka ya kuthibiti na kupambana  na Dawa za Kulevya Nchini  kupitia maafisa wake wameendelea kutoa Elimu na tahadhari juu ya Madawa hayo, sikiliza hapa.