Jamii FM

Makala: Umuhimu wa vituo vya kulea watoto mchana (Day care centers)

23 October 2023, 12:21 pm

Watoto wanaolelewa mchana. Picha na Wikimedia Common

Na Mwanahamisi Chikambu, Gregory Milanzi

Usipoziba ufa utajenga ukuta, katika makala haya tunaangazia vituo vya kuelelea watoto maarufu kama day care ambapo watoto hujifunza, kula na kucheza pamoja huku wakijengwa katika masuala mbalimbali ya kielimu kulingana na umri wao.

Hapa tumeongea na wazazi kuwauliza kuwa huwa wanaangalia vigezo gani kabla ya kuwapeleka katika vituo hivyo?

Bonyeza hapa kusikiliza makala haya ili uweze kusikiliza na kujifunza kuhusu mada hii