
Recent posts

23 March 2025, 15:39 pm
TMA Mtwara yahimiza wananchi kufuatilia utabiri wa hali ya hewa
Haya ni maadhimisho ya 75 tangu kuanzishwa kwa shirika la hali ya hewa Duniani mnamo March 23 ,1950 ambapo Tanzania ikiwa nchi mwanachama 193 wa WMO na kwa Mtwara mjini yameadhimishwa katika chuo cha kilimo cha MATI Naliendele Mtwara. Na…

21 March 2025, 15:39 pm
TAMWA yahamasisha wanawake kugombea nafasi za uongozi
Mwaka 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais ambapo kupitia mafunzo hayo yatawawezesha waandishi wa habari kupitia vipindi vyao kushawishi wanawake kuingia katika kinyanyiro cha uchaguzi. Na Mwanaidi Kopakopa Leo tarehe 21 Machi 2025, Chama cha…

20 March 2025, 09:13 am
TASA yatambulisha mradi wa ‘Amani Yetu Kesho Yetu’ Mtwara
Mradi wa Amani Yetu Kesho Yetu unaonekana kuwa ni hatua nzuri ya kujenga jamii yenye umoja na amani, hasa kwa kuhusisha vijana na wanafunzi ambao wapo katika hatari ya kutumbukia katika uvunjifu wa amani katika jamii Na Musa Mtepa Shirika…

17 March 2025, 22:15 pm
Wanafunzi wa watatu wa shule ya sekondari Madimba wajeruhiwa na radi
Tukio la kujeruhiwa na radi Wanafunzi watatu wa shule ya sekondari Madimba limetokea siku ya Jumanne ya March 11 wakiwa Darasani Na Musa Mtepa Wanafunzi watatu wa Shule ya Sekondari Madimba, iliyopo katika Halmashauri ya Mtwara Vijijini, Mkoani Mtwara, wamenusurika…

15 March 2025, 10:59 am
EWURA yatoa mafunzo kwa wadau wa huduma za nishati na maji Mtwara
Haya ni mafunzo ya siku moja yaliyohusisha watendaji wa mitaa,viongozi wa dini,wadau na watumiaji wa huduma za maji na Nishati wanaopatikana Manispaa ya Mtwara Mikindani Na Musa Mtepa Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendesha mafunzo…

14 March 2025, 13:19 pm
Jamii FM Mtwara yatoa tuzo kwa msikilizaji bora wa vipindi
Hii ni katika kuwaunganisha wasikilizaji na wadau wa redio ambao wamekuwa wakisikiliza na kuchangia mada mbalimbali katika vipindi vya Jamii FM redio Na Musa Mtepa Kituo cha Redio cha Jamii FM Mtwara kimetoa tuzo kwa Musa Ali Chituta kutoka kijiji…

13 March 2025, 21:19 pm
Mkuu wa Mkoa Mtwara, akabidhi msaada kwa waathirika wa Mafuriko
Msaada ulioletwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na wadau umejumuisha vifaa mbalimbali ikiwemo unga wa sembe, dona, mchele, sukari, mafuta ya kupikia, sabuni za unga, chumvi, sabuni za kuogea, taulo za kike, magodoro, blanketi, vyandarua, nepi za kisasa (diapers),…

12 March 2025, 08:55 am
Watumishi wa afya Makome B waishi nyumba moja
Zahanati ya Makome B inayopatikana kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya Mtwara ilizinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Ndugu Mzee Mkongea Ali Tarehe 06.10.2019 ikiwa na majengo mawili ambayo ni jengo la zahanati na nyumba moja ambayo wanaishi…

10 March 2025, 18:46 pm
Zaidi ya tani 9,000 za salfa zawasili bandari ya Mtwara
Hii ni meli ya kwanza kati ya meli nne zinazotarajia kubeba tani 40,000 za pembejeo ya zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2025/2026 ambapo kwa mujibu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho wakulima wanahitaji tani 40’000 ili kufanikisha uzalishaji…

7 March 2025, 16:21 pm
Wakazi kijiji cha Naumbu walia na changamoto ya maji
Kijiji cha Naumbu kipo kata ya Naumbu halmashauri ya Mtwara Vijijini ambacho kwa upande wa mashariki kimepakana na Bahari ya hindi na upande wa Magharibi imepakana na Kijiji cha kitope na kijiografia ya Kijiji hicho kimetawaliwa na miamba mikubwa ya…