Jamii FM

Makala: Huduma ya mama mjamzito na mtoto mchanga

2 November 2023, 18:00 pm

Mama akifurahi na mtoto wakati wa malezi. Picha na The Chanzo

Na Mwanahamisi Chikambu/ Gregory Millanzi

Huduma ya mama na mtoto ina chimbuko lake kulingana na historia, wapo wanaosema binadamu ametokana na sokwe na wengine wanasema binadamu anatokana na binadamu mwenyewe.

Karibu katika makala haya ambapo tunaangazia namna mama na mtoto wanavyopata huduma za afya katika vituo vya afya na kuridhishwa na huduma zinazotolewa katika maeneo yao.

Bonyeza hapa kusikiliza makala haya