Jamii FM

Makala: Upatikanaji wa huduma za afya kwa watu wenye ulemavu

23 October 2023, 15:00 pm

Mzee Mohamed Makulungwa Baba mwenye ulemavu na kupata huduma za afya ambapo ametoa maelezo kwenye makala haya. Picha na Msafiri Kipila

Upatikanaji wa huduma za afya kwa watu wenye ulemavu ni makala inayozungumzia masuala mbalimbali ambayo watu wenye ulemavu hukumbana nayo na pia imeeleza namna ambavyo wanapata huduma. Makala hii imeelezea madhira wanayopitia katika maeneo ya kutolea huduma.

Na Msafiri Kipila

Bonyeza hapa kusikiliza makala