Jamii FM

Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara

19 October 2021, 14:51 pm

Makala imeandaliwa na Musa Mtepa juu ya Kilimo Biashara

Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.