Jamii FM

Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi

8 July 2022, 14:52 pm

Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara.

Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba

 

Ungana na Karim Faida katika makala haya maalum