Jamii FM

Makala: Elimu ya usafirishaji wa mitungi ya Gesi kwa bodaboda

18 October 2021, 16:35 pm

Makala ya Usafirishaji wa mitungi ya gesi na matumizi yake

Karibu usikilize makala haya juu ya usafirishaji wa mitungi ya Gesi kwa bodaboda, Makala haya yameandaliwa na Karim Faida.

baada ya kusikiliza tunaamini utakuwa umeelimika na masuala mbalimbali yanayohusu Mitungi ya Gesi na matumizi ya jiko la gesi.