Picha ya Gladness Munuo na Musa Mtepa
Jamii FM

Kipindi: Umiliki wa Ardhi kwa mwanamke – Gladness Munuo

11 August 2023, 19:12 pm

Bi Gladness Munuo akiwa studio ndogo za jamii FM Radio na Mwandishi wetu Mussa Mtepa. Picha na Mohamed Massanga

Wanawake wamekuwa nyuma katika suala la umiliki wa ardhi kitendo ambacho kinaonesha ni kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umiliki huo, hasa linapokuja suala la mali ya familia

Na Musa Mtepa

Mratibu usuluhishi na upatanisho kutoka kituo cha msaada wa kisheria jijini Dar es salaam Bi Gladness Munuo akiwa studio ndogo za jamii FM Radio zilizopo Mtaa wa Agakhani Maduka makubwa mjini Mtwara mkabala na Ofisi za NSSF amepata nafasi ya kuzungumzia suala la Wanawake na Ardhi (Umiliki wa ardhi kwa mwanamke, haki ya umuliki)

Bonyeza hapa kusikiliza