Jamii FM

Makala: Hali ya malezi na Makuzi ya watoto chini ya umri wa miaka 8

8 December 2023, 10:38 am

Mlezi katika kituo cha kulelea watoto (day care center) akiwa na watoto. Picha na Gregory Millanzi

Baba na Mama tunaamini ndio wanaoanzisha safari ya maisha ya binadamu hapa duniani, na hapa nazungumzia jukukumu la mama kubeba mimba na baba kubeba jukumu la kulea na kuhudumia mimba

Na Mwanahamisi Chikambu na Gregory Millanzi

Maisha ya binadamu yanasafari ndefu sana, na ukitaka kumuuliza kila mtu namna anavyosafiri kwenye safari yake, atakusimulia kwa namna yake na inaweza isifanane na ya mwingine.

Karibu kwenye makala hii ambayo inazungumzia wajibu wa mzazi au mlezi katika majukumu ya malezi kwa mtoto hasa wenye umri chini ya miaka 8.

kusikiliza makala hii bonyeza hapa