Dr. Boniface Jengela - Mratibu wa kuthibiti Kifua Kikuu na Ukoma katika Halmshauri ya Wilaya ya Mtwara akieleza Namna ya Kudhibiti ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)
Jamii FM

KIPINDI (LIVE): Elimu ya namna ya kudhibiti Ugonjwa Kifua Kikuu (TB)

10 August 2022, 15:29 pm

Ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa unaoennezwa kwa njia ya hewa na hii huenezwa kwa njia tofauti, ungana na mwandishi wetu Mwanahamisi chikambu pamoja Dk. Boniface Jengela ambaye ni mratibu wa kudhibiti kifua kikuu (TB) na ukoma katika halmshauri ya Wilaya ya Mtwara.

Karibu usikilize