Jamii FM

Wananchi wamkataa Diwani wa kata ya Nanguruwe Mkoani Mtwara

21 July 2022, 12:28 pm

wananchi wa kata ya Nanguruwe mkoani mtwara katika Halmashsuri ya wilaya ya mtwara mkoani mtwara wamemkataa Diwani wa kata hiyo Patrick Simwinga baada ya kutokea kwa vurugu katika eneo lake la utawala.

chanzo cha wananchi kumkataa diwani huyo ni vurugu zinazodaiwa kufanywa na kundi la mgambo ambalo linasadikika kuwa yeye alikuwa mmoja wapo ndani ya kundi hilo. katika tafrani hiyo baadhi ya wananchi wamesema wamepigwa na kulalzimishwa kujiunga na mazoezi ya mgambo usiku wa kuamkia Julai 14, 2022

 

sikiliza habari kamili kama ilivyorushwa na Jamii fm Radio