Jamii FM

Makala – Matumizi ya mkaa wa karatasi

28 October 2023, 13:56 pm

Wanakikundi cha Tumalane, Utamaduni na Mazingira maarufu kama TUMA kinachopatikana katika kijiji cha msangamkuu halmashauri ya Mtwara wakieleezea jinsi mkaa huo unavyotengenezwa. Picha na Musa Mtepa

Na Musa Mtepa;

Makala haya yanaeleza namna ambavyo kikundi hiki kimeamua kujikita katika kuandaaa mkaa unaotokana na mabox pamoja na karatasi.

Katika makala haya utawasikia wanakikundi cha Tumalane, Utamaduni na Mazingira maarufu kama TUMA kinachopatikana katika kijiji cha Msangamkuu halmashauri ya Mtwara wakieleezea jinsi mkaa huo unavyotengenezwa na unavyoweza kusaidia kutunza mazingira ikiwa kama nishati mbadala ya kuachana na matumizi ya kuni na mkaa wa miti.

Bonyeza hapa kusikiliza makala haya