Jamii FM

Fahamu matumizi ya gesi asilia nyumbani

10 April 2023, 11:29 am

Moja ya alama ya bomba la gesi linalopeleka gesi kwenye nyumba kwaajili ya kupikia. Picha na Amua Rushita.

Na Mussa Mtepa

Uwepo wa mtandao wa gesi asilia kwaajili ya kupikia katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kumesaidia kumtunza mazingira na muda wa kukaa jikoni kwaajili ya maandalizi ya chakula.

Katika makala haya utasikia wanufaika mbalimbali wa gesi asilia pamoja na viongozi wakitoa mafanikio katika matumizi ya gesi asilia.