NEMC Mtwara yachoma Taka za Plastiki katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani
Jamii FM

Makala: NEMC Mtwara yateketeza taka za plastiki

8 June 2023, 14:34 pm

Zoezi la uchomaji taka za Plastiki zikiwa zinaandaliwa na watalaamu kutoka NEMC Mtwara. Picha na Musa Mtepa

Na Musa Mtepa.

Siku ya mazingira duniani Juni 6, 2023 Baraza la taifa la uhifadhi wa mazingira mkoani Mtwara (NEMC) imeadhimishwa mkoani Mtwara kwa kuteketezwa kwa taka za plastiki zaidi ya kilo 600 zenye thamani ya shilingi milioni nne.

Akizungumza mhandisi Boniface Guni katika tukio lililofanyika katika kiwanda cha simenti cha Dangote mkoani mtwara anasema wazalishaji wa taka ambao hawafahamu basi waombe msaada wa mafunzo ili waelekezwe namna ya kuziteketeza.

Sikiliza makala haya:

Makala: Siku ya Mazingira Duniani – NEMC Mtwara. imeandaliwa na Musa Mtepa