Jamii FM

Kipindi: Hali ya mahudhurio darasa la kwanza, awali

13 June 2023, 16:54 pm

Wataalamu wa Elimu wakizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Asubuhi kupitia Jamii FM

Sikiliza kipindi cha dira ya asubuhi juu ya mada Hali ya Mahudhurio Darasa la awali na Darasa la Kwanza kwa Wilaya ya Mtwara

Sikiliza hapa

Sikiliza Hali ya Mahudhurio Darasa la awali na Darasa la Kwanza