Jamii FM

Makala: Je wazee wana mchango gani wa kukemea kuporomoka kwa maadili

28 April 2023, 11:18 am

Na Msafiri Kipila

Moja wa wazee walihojiwa kwenye kipindi, picha na Msafiri Kipila

Kutokana na mabadiriko makubwa kwenye nyaja ya elimu, technolojia na utamaduni, tunu ya vijana imekuwa tofauti na wazee, vijana wanaona kuishi kwa tamadauni za mababu ni kupitwa na wakati,

Wazee wamezungumza na Jamii fm kwenye makala haya maalumu ya watu wenye mahitaji maalumu ambapo wazee ni moja ya kundi hilo.

Wazee wamesema kubadirika kwa tamadauni na vijana kutowasikiliza kumewaharibu jamii, Je wazee wana mchango gani wa kukemea kuporomoka kwa maadili, ambatana na Msafiri kipila kwenye makala haya