Jamii FM

Makala: Vijana wamejiandaaje na Fursa za Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji wa Gesi

7 July 2022, 11:22 am

Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji na usindikaji wa Gesi asilia unatarajia kuanza kutekelezwa mkoani Lindi ambapo tayari nchi yetu ya Tanzania imesaini mkataba wa awali wa ujenzi huo.

Swali ni je? Vijana wa mikoa ya Mtwara na Lindi wamejiandaaje na mradi huo?  sikiliza makala haya yaliyoandaliwa na Musa Mtepa wa Jamii FM Radio’

Karibu usikilize