Jamii FM

Athari za ulaji wa Udongo kwa Wanawake wajawazito

8 November 2020, 14:43 pm

 Wanawake wajawazito wanautamaduni wa kula udongo bila kujua athari zake, hapa utawasikia wanawake na Daktari akielezea athari hizo kwa mama na mtoto aliye tumboni.

Karibu kwenye kipindi maalum, Muandaaji na msimulizi wako ni Karim Faida wa jamii fm radio Mtwara.